About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / , Nicki Minaj Kasema Haya Kuhusu Beef Na Iggy Azalea

Nicki Minaj Kasema Haya Kuhusu Beef Na Iggy Azalea

| No comment
Baada ya kuzushiwa kuwa ametofautiana na Rapper wa Kike Iggy Azalea, Rapper kutoka Young Money Nicki Minaj ameweka wazi kuwa hajawahikuwa na beef na msanii huyo na hana mpango a kuanzisha beef na Iggy ilikupata umaarufu zaidi. Nicki Minaj alipokea tuzo ya Msanii Bora wa Hiphop Wa Kike kwenye tuzo za Bet na alishangilia kwa kucheza kama alivyocheza Iggy kwenye video yake ya Fancy kitendo kilicho tafsiriwa kwana Diss kwa Iggy kutoka kwa Minaj. Ukiacha kitendo hicho pia inasemekana Nicki aliwahi kukashifu kitendo cha Iggy kuandikiwa mistari na mtu asiyetaka kutajwa. Waandishi hawa huitwa GhostWriters Nicki Minaj ametumia twitter kutoa maelezo kuwa amefuahishwa na mafanikio ya Iggy na anapenda kuona wasanii wakike wakifanya vizuri ata zaidi yake.