About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / Jennifer Lopez anaonekana kufuata ule msemo wa kati mti panda mti. Siku kadhaa baada ya kuachana na Serengeti boy wake Casper Smart tayari ameanza kuonekana akijiachia na dancer maarufu Maksim Chmerkovskiy

Jennifer Lopez anaonekana kufuata ule msemo wa kati mti panda mti. Siku kadhaa baada ya kuachana na Serengeti boy wake Casper Smart tayari ameanza kuonekana akijiachia na dancer maarufu Maksim Chmerkovskiy

| No comment
Us Weekly limeripoti kuwa Jennifer na Masksim walioenekana Jumamosi katika Cassino ya Foxwoods Resort wakiwa karibu isivyo kawaida kwa watu marafiki na walikuwa wakicheza na kufanya kuongea kwa aina fulani. Baada ya kutoka huko walihamia kwenye night club nyingine na kuendeleza bata la pamoja wakionesha ukaribu unaozua maswali. Hii inakuja siku chache baada ya Jennifer kukanusha kuwa na mpenzi mwingine na kwamba bado yuko single. Maskim ni mmoja kati ya dancers wanaompa kampani mara nyingi Jennifer Lopez anapokuwa jukwaani akifanya shows.