About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / Hii ni orodha mpya ya Forbes ya mastaa wenye nguvu zaidi duniani na pesa walizoingiza

Hii ni orodha mpya ya Forbes ya mastaa wenye nguvu zaidi duniani na pesa walizoingiza

| No comment
Mtandao wa Forbes ambao unaaminika kwa kutoa orodha za uhakika kuhusu mastaa na watu wakubwa wakiwemo wafanyabiashara matajiri, kwa sasa wametoa orodha mpya ya mastaa wenye nguvu zaidi duniani yaani “most powerful celebrities” pamoja na kiasi cha pesa walichoingiza tangu mwezi June mwaka 2013 hadi June mwaka huu wa 2014. Mwanamuziki maarufu Beyonce Knowles amefanikiwa kung’aa katika nafasi ya kwanza akimuacha kwa nafasi tano nyuma mume wake Jay Z ambaye yupo katika nafasi ya sita. Kumi bora ya watu maarufu katika orodha hiyo ni pamoja na LeBron James, Oprah Winfrey, Rihanna, Jay Z, na Katy Perry. Hii ndiyo orodha nzima ya kumi bora ya mastaa hao pamoja na kiasi cha pesa walichoingiza kwa mwaka mzima. 1) Beyonce: $115million 2)LeBron James – $72million 3)Dr. Dre – $620million 4)Oprah Winfrey- $82million 5) Ellen DeGeneres – $70million 6)Jay Z – $60million 7)Floyd Mayweather- $105million 8)Rihanna – $48million 9)Katy Perry- $40million 10)Robert Downey Jnr – $75million. Note : Hii ni list ya most powerful celebrities na sio most richest celebrities.