About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / Floyd Mayweather Jr kupambana tena na Marcos Maidana september

Floyd Mayweather Jr kupambana tena na Marcos Maidana september

| No comment
BONDIA Floyd Mayweather Jr ameweka wazi mpambano wake wa marudia
no na Marcos Rene Maidana mpambono huo ambao ameuweka wazi utapikwa september 13 MGM Grand, Las Vegas, Nevada kugombania mikanda ya ubingwa wa WBC welterweight title WBA Super World welterweight title Mayweather ambaye anatumainiwa akiwa ulingoni na pia ndio bondia ambaye anachukuwa mkwanja mwingi ukulinganisha na mabondia wengine duniani