About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / , Sheddy Clever Auza Vifaa Vyote Vya Studio Yake, Chanzo Wimbo Wa ‘My Number One’

Sheddy Clever Auza Vifaa Vyote Vya Studio Yake, Chanzo Wimbo Wa ‘My Number One’

| No comment
Mtayarishaji wa muziki na mmiliki wa studio za Burn Records, Sheddy Clever ameamua kuuza vifaa vyote vya studio yake kwa mtu yeyote anaetaka kuvimiliki
Kupitia Instagram, Sheddy ameweka picha ya vifaa vyake anavyouza na kutoa namba ya simu kwa mawasiliano. “Habari ….. Vifaa vya s2dio @burnrecordz vyooote vinauzwa kwa anaehitaji cheki +255654067053 -> Mic, keyboard ,monitor speaker alesis,meza ya s2dio, mic stand, sound card, na vingine cheki hum.” Akiongea na sammisago.com Sheddy ameeleza kuwa ameamua kuuza vifaa hivyo ili anunue vifaa vipya kabisa na vya kisasa zaidi, na kwamba chanzo cha uamuzi huo ni fedha alizozipata kupitia wateja wengi zaidi aliowapata tangu alipotoa wimbo wa Diamond ‘My Number One’. Sheddy Clever aliutengeneza wimbo wa My Number One bila malipo lakini hivi sasa anakiri kupata mafanikio makubwa kupitia wimbo huo ambao umempa nafasi Diamond kushiriki kaika tuzo za MTV MAMA mwaka huu. Kama unahitaji kumiliki vifaa vilivyotumika kuandaa nyimbo kali za Sheddy, mpigie kupitia 0654067053.