About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / Picha: Shambulizi La Bomu Lilioua 21 Abuja, Nigeria

Picha: Shambulizi La Bomu Lilioua 21 Abuja, Nigeria

| No comment
Mlipuko wa bomu uliotokea mbele ya Mall inayochukua watu wengi zaidi Abuja, Nigeria limeua watu zaidi ya 21. Mlipuko huo umetokea jana na kuwashitua watu wengi katika eneo hilo lililo katikati ya jiji la Abuja huku vilio vya majonzi vikitawala na mamia ya watu waliokuwa wameenda kufanya manunuzi wakizungukwa na damu kama sio kupoteza maisha
Magari yaliyokuwa mbele ya Mall hiyo yaliteketea kwa moto, na mashuhuda walieleza kuwa walikuwa wanaona vipande vya miili ya watu vikisambaa katika eneo hilo. Ingawa hakuna kundi lolote lililodai kuhusika na shambulizi hilo, wengi wanaamini shambulizi hilo litakuwa limefanywa na kundi la Boko Haram linalowashikilia watoto zaidi ya 260 kwa sasa, tangu iwashikilie wasichana 200 mwaka huu.