About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / , Picha: Justin Bieber Apata Ajali Ya Gari Akiwakwepa Paparazzi

Picha: Justin Bieber Apata Ajali Ya Gari Akiwakwepa Paparazzi

| No comment
Justin Bieber amepata ajali ya gari akiwa katika gari lake la Cadillac Escalade wakati akiwakimbia mapaparazzi, Beverly Hills.
Kwa mujibu wa TMZ, Bieber alikuwa amekaa kwenye seat ya abiria ambapo gari lingine aina ya BMW liligonga mlango wa upande huo. Kwa bahati nzuri, hakuna aliyeumia katika ajali hiyo na Justin alihamia kwenye gari nyingine na kuendelea na safari.