About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / NEWS: TAARIFA YA KUKANUSHA

NEWS: TAARIFA YA KUKANUSHA

| No comment
Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa. Kumeendelea kujitokeza vikundi mbalimbali vinavyojinasibisha na Mh Edward Lowassa, miongoni mwao ni kile kinachojiita Muungano wa Marafikiwa Mh Edward Lowassa Wasio na Mipaka(MELOWAMI).Muunganno huu umetoa taarifa katika mitandao ya kijamii ukiishutumu kamati ya maadili ya CCM kuwa inamfanyia hujuma Mh Lowassa.Kwa mara nyingine tena ofisi ya Mh Lowassa inakanusha kuhusika kwa namna yoyote ile na taarifa za kikundi hicho na vingine vitakavyotoa. Imetolewa na ofisi na Mh Lowassa(mbunge)