About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / Kama Alivyofanya Kwenye Tuzo Za Mama, Hii Nguo Ya Diamond Katengeneza Sheria Ngowi Kwaajili Ya Bet

Kama Alivyofanya Kwenye Tuzo Za Mama, Hii Nguo Ya Diamond Katengeneza Sheria Ngowi Kwaajili Ya Bet

| No comment
Kuelekea kwenye tuzo kubwa za Bet Diamond Platinumz ameshaanza kufanya mipango tofauti ikiwemo nguo atakayovaa usiku huo na kwenye red carpet. Fahamu kuwa Diamond yupo kwenye kipengele cha Best African Act ikiwa ni kipengele cha msanii peke anayefanya vizuri Africa. Diamond ametuonyesha sehemu ndogo ya nguo atakayovaa usiku wa Bet na imetengenezwa na mbunifu wa mavazi Sheria Ngowi na imeandikwa Mr Diamond Platnumz.