Pages

Monday, June 23, 2014

Hizi ni Sifa za Rihanna Kwa Wizkid Wa Nigeria

Siku kadhaa baada ya Rihanna kuweka wazi kuwa anamzimia mchezaji wa Ghana, Kevin-Prince Boateng, ameonesha kukikubali kipaji cha mwimbaji wa Nigeria Wizkid.


Wizkid ameeleza jinsi alivyosifiwa na Rihanna wakati akiwa studio anafanya kazi huko Marekani kwa kuandika kwenye akaunti ya Twitter.


 Wizkid ni rafiki wa karibu wa Chris Brown na tayari wameshafanya kazi. Mbali na Rihanna, Karrueche Tran na Justin Bieber walionesha kumkubali Wizkid.

No comments:

Post a Comment