About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / Fahamu Kuhusu Uamuzi Wa Nando Kuacha Kutumia Dawa Za Kulevya

Fahamu Kuhusu Uamuzi Wa Nando Kuacha Kutumia Dawa Za Kulevya

| No comment
Ammy Nando aliyekuwa mshiriki wa Big Brother Africa mwaka jana akiiwakilisha Tanzania amefungukua kuwa na yeye alikuwa moja kati ya wanaotumia dawa za kulevya.
Amesema hivi sasa ameamua kuacha kutumia Unga na ameshakamilisha miezi 16 tangu afanya maamuzi hayo. Hata hivyo, Nando anasema anaendelea kutumia bangi na anavuta mbili kwa siku ili kurefresh kutoka kwenye matumizi ya unga. Anasema kwake bangi haimuumizi ila unga ndio tatizo kubwa na ameachana nalo. Nando ameeleza sababu zilizompekea kutumbukia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya: Sababu ya kuingia huko, ni ujana tu mwanangu…unajua ujana ni maji ya moto kama watu wanavyosema. Na pee pressure na watu niokuwa nao wakati ule, na life nililoishi mimi…ni yale maisha ya kujiachia. Chanzo: timesfm.co.tz