About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / Fahamu Alichokisema Suarez Baada Ya kumng’ata Chiellini Na Uamuzi Wa FIFA

Fahamu Alichokisema Suarez Baada Ya kumng’ata Chiellini Na Uamuzi Wa FIFA

| No comment
FIFA wameanza kumchukulia hatua mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez hatua baada ya kutuhumiwa kumng’ata mchezaji wa Italia, Giorgio Chiellinni.
FIFA imetoa tamko Jana jioni kuwa kufikia leo majira ya saa kumi jioni (muda wa Brazil) mchezaji huyo na shirikisho la mpira wa miguu la Uruguay kupeleka vielelezo kuthibisha utetezi wao juu ya tukio hilo. Suarez alipoulizwa kuhusu tukio hilo alijitetea na kudai kuwa ilitokea wakati wanagombea mpira na kwamba alijigonga na sio kumng’ata. “The only thing I know is that those are occurrences that happen on the pitch.” Aliwaambia waandishi wa habari. Picha za television zinamuonesha Suarez akipeleka kichwa chake kwa Chiellinni na walipoanguka pamoja, mchezaji huyo wa Italia alionesha ishara kuwa ameng’atwa begani. Baadae alionesha bega lililoshambuliwa.
Chiellinni amehimiza hatua zichukuliwe dhidi ya Suarez. Mchezaji huyo wa Uruguay ameshakutana na kesi za matukio ya kung’ata watu mara kadhaa. Katika mechi hiyo Uruguay ilishinda 1-0 na imeingia katika hatua za mtoano.