About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / CAMEROON YATIA AIBU BRAZIL, NEYMAR AENDELEA KUNG'ARA...CROATIA NAYO YAPETA

CAMEROON YATIA AIBU BRAZIL, NEYMAR AENDELEA KUNG'ARA...CROATIA NAYO YAPETA

| No comment
WENYEJI Brazil wamekamilisha mechi za kundi lake, A kwa ushindi wa mabao 4-1 usiku wa kuamkia leo dhidi ya Cameroon Uwanja wa Nacional. Mshambuliaji tegemeo Neymar alifunga mabao mawili dakika za 17 na 34, wakati mabao mengine yalifungwa na Fred dakika ya 49 na Fernandinho dakika ya 84. Bao pekee la Simba Wasiofungika wanaoaga michuano hiyo bila hata pointi moja baada ya awali kufungwa pia na Croatia na Mexico, lilifungwa na Matip dakika ya 26. Croatia nato ilimaliza na ushindi wa 3-1 dhidi ya Mexico, mabao yake yakifungwa na Rafael Marquez, Andres Guardado na Javier Hernandez. Bao la kufutia machozi lka Mexico iliyompoteza mchezaji wake Ante Rebic aliyetolewa kwa kadi nyekundu mwishoni mwa mchezo, lilifungwa na Ivan Perisic. Brazil inamaliza na pointi saba sawa na Croatia, lakini inakaa kileleni kwa wastani mzuri zaidi wa mabao
Nyota: Neymar amefunga mabao mawili dhidi ya Cameroon