About us

New Music

View All

Pictures

Entertainment

View All

Video

Follow Us

Join the Club

 photo addspace.png

Ads

Contact Form

Name

Email *

Message *

Blogroll

Category 3

Category 6

Flickr Images

Category 4

Category 7

Label

Sports

Entertainment

Entertainment

Powered by Blogger.

Latest News

You are here: Home / Kim Kardashian & Kanye West Channel Coachella For North West’s First Birthday At ‘Kidchella’

Kim Kardashian & Kanye West Channel Coachella For North West’s First Birthday At ‘Kidchella’

| No comment
hawakutania walivyosema wataandaa sherehe kubwa! Kim Kardashian na Kanye West walitaka kumfanyia mtoto wao North West the best first birthday ever,ambae alizaliwa on fathers day mwaka jana..! Party hiyo ilifanyika nyumbani kwa dada yao mkubwa kourtey.wakaibadili backyard ya Kourtney Kardashian kuwa ‘Kidchella,’Ambapo waliakikisha wanaandaa mazingira mazuri ya party hiyo ikiwemo stage ya kuperform ambapo kendall na kyle jenner ambao ni wadogo wa kufikia wa kim,kourt,khloe na rob kadashian,pamoja na jadden smith walikuwa wana perform! hata hivyo hakukuwa na picha za birthday girl isipokuwa kris jenner na watoto wake zikiwemo video za performance ya kina kendell. In fact...we wish North West a very Happy first birthday...!cant wait for next year...how lucky this little girl is xoxo..